NAFASI YA KAZI WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA , WAZEE NA WATOTO
Wizara YA Afya , Maendeleo ya Jamii, JiNSIA , Wazee , na Watoto imepeta kibali cha mpango wa ajira ya dharula kwa wataalamu wa fani za tabibu na wauguzi mpango huu utaendeshwa chini ya mradi kwa ufadhili wa fedha mfuko wa cdc, award no. 5U2GGHOO1062-03 kwa muda wa miaka miwili
mradi utaajiri watumishi m192 ambao watafanya kazi katika wilaya mbalimbali zenye uhaba wa watumishi wa kutoa huduma za afya hasa kwa waathirika wa wenye virus ivy UKIMWI . watumishi hawa watalipwa mshahara na stahiki nyingine kwa kufuata tarabitu na kanuni za serikali. Watumishi wanao takiwa ni
- TABIBU WASAIDIZI (NAFASI 95) wenye ngazi ya astashahada (CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICAL)
- WAUGUZI (nafasi 97 ) wenye ngazi ya astashahada (CERTIFICATE IN NURSING AND MIDIWIFERY)
Wizara inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa watanzania wenye sifa zilizotajwa hapo juu , wawe n vitu vifuatavyo
- Cheti cha kumaliza kidato cha nne
- Cheti cha taaluma aliyosomea kutoka kwenye chuo kinachotambulika na serikali barua ya maombi ionyeshe wilaya unayotaka kupangiwa
- Maombi yatumwe kwa
KATIBU MKUU,
WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, NA WATOTO,
6 SAMORAL MACHEL AVENUE,
S.L.P 9083
11478, DAR ES SALAAM,
TANZANIA.

Post a Comment